Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Ndg.Ayoub Bakari Hamad, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Ndg.Ayoub Bakari Hamad, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.