Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akizungumza Wafanyakazi wa kitengo cha Sema na Rais Mwinyi (SNR) Ikulu wakati alipofika katika Ofisi ya kitengo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akizungumza Wafanyakazi wa kitengo cha Sema na Rais Mwinyi (SNR) Ikulu wakati alipofika katika Ofisi ya kitengo kusikiliza taarifa mbali mbali na changamoto wanazokabiliana nazo wakiwa wanatimiza Mwaka Mmoja tokea kuanzisha kwa kitengo hicho,(kulia) Mkuu wa Kitengo hicho Nd,Haji Khamis Makame.