RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)akisalimian a na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)akisalimian a na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam 13/12/2022.