Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maghafali ya 25 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al Sumait, Chukwani, na amevisisitiza Vyuo Vikuu hapa Nc
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi akihutubia
katika Maghafali ya 25 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al Sumait, Chukwani, na amevisisitiza Vyuo Vikuu hapa Nchini kuongeza kasi ya Kufanya Tafiti nyingi zaidi zitakazosaidia kutatua Changamoto zinazoikabili Jamii.