Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti miongoni mwa wahitimu 679 waliohitimu katika Maghafali ya 25 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al Sumait, C
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti miongoni mwa wahitimu 679 waliohitimu katika Maghafali ya 25 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al Sumait, Chukwani, na amevisisitiza Vyuo Vikuu hapa Nchini kuongeza kasi ya Kufanya Tafiti nyingi zaidi zitakazosaidia kutatua Changamoto zinazoikabili Jamii.