Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Mhe. Gustavo Martins Noguera ameambatana na wawekezaji pamoja na wamili
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Mhe. Gustavo Martins Noguera ambae ameambatana na wawekezaji pamoja na wamiliki wa makampuni matatu kutoka Jamhuri ya Shirikisho la Brazil yaliyonesha nia ya kuwekeza Zanzibar, Makampuni hayo ni Amazon Real Hubs, linalojihusisha na usindikaji na usafirishaji wa korosho pamoja na bidhaa za matunda; West Avest Company, linalojikita katika ufugaji wa kuku na uzalishaji wa mayai; na Trade Hubs Pharmaceutical, linalotoa huduma za tiba pamoja na utengenezaji wa dawa