Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA, Ndg. Yussuf Juma Mwenda, pamoja na baadhi ya watendaji wakuu wa Mamlaka hiyo, waliofi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA, Ndg. Yussuf Juma Mwenda, pamoja na baadhi ya watendaji wakuu wa Mamlaka hiyo, waliofika Ikulu, Zanzibar, kwa lengo la kujadili masuala ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma leo tarehe 17/12 /2025.