Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi leo tarehe 28 Novemba 2025 alipojumuika na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi leo tarehe 28 Novemba 2025 alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya Kumshukuru Mungu pamoja na kuiombea Nchi Amani iliyofanyika Msikiti wa Jamiu Zinjibar, Kiembe Samaki, Mkoa wa Mjini Magharibi.