Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza tarehe 07 Disemba 2025, katika hafla maalum ya Msimu wa Tano wa Tuzo za Kupinga Ukatili wa Kijinsia iliyofany
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika hafla maalum ya Msimu wa Tano wa Tuzo za Kupinga Ukatili wa Kijinsia iliyofanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr, Mbweni, Mkoa wa Mjini Magharibi.