RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Fedha na Utwala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-7-2022, akiongozana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Hilal Al Shidhani na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi.