RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi“B”Unguja kumsalimia na kumjulia hali yake.