RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisoma maelezo ya Jiwe la Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisoma maelezo ya Jiwe la Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, baada ya kukizindua,na (kushoto ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud. wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.