Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Mwenyekiti wa Commonwealth Enterprise and Investment Council, Lord Swire, na ujumbe wake waliofika I
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Mwenyekiti wa Commonwealth Enterprise and Investment Council, Lord Swire, na ujumbe wake waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo.