Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alipozungumza leo tarehe 12 Desemba 2025, Ikulu Zanzibar, baada ya kupokea Tuzo ya Africa’s Best Corporate Retreat
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alipozungumza leo tarehe 12 Desemba 2025, Ikulu Zanzibar, baada ya kupokea Tuzo ya Africa’s Best Corporate Retreat Destination 2025, ambayo Zanzibar imeshinda kwenye Mashindano ya Dunia ya Utalii wa Safari (World Travel Awards 2025) yaliyofanyika nchini Bahrain.