RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Italy Inchini Tanzania Mhe Marco Lombardi,baada ya kumaliza mazungumzo yao.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Italy Inchini Tanzania Mhe Marco Lombardi,baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.