RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela kuashiria kulifunguaTawi la Benki CRDB
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela kuashiria kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo uliofanyika 25-7-2022, Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo.