RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shir

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam 21-3-2023