RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibui “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022.