RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la Taasisi ya Mwanamke Initiative na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mhe. Wanu Hafidh Ameir.

RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la Taasisi ya Mwanamke Initiative na Mwenyekiti wake Mhe. Wanu Hafidh Ameir,baada ya kumaliza mazungumzo yao na kujitambulisha,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.