RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa jezi namba 10 ya Timu ya Southampton yenye jina lake na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Timu hiyo David Thom

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa jezi namba 10 ya Timu ya Southampton yenye jina lake na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Timu hiyo David Thomas,baada ya kumaliza mazungumzo yao yalioyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.