RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kasha na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kasha na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023.