RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “A History of Zanzibar Media” na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “A History of Zanzibar Media” na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.