RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Kutimiza Miaka Miwili ya Uongozi wake,iliyotolewa na Wauguzi Zanzibar akikabidhiwa na Muungu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Kutimiza Miaka Miwili ya Uongozi wake,iliyotolewa na Wauguzi Zanzibar akikabidhiwa na Muunguzi Bi. Maryam Rashid Suleiman, wakati wa sherehe za kumpongeza zilizofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja leo 20-12-2022,na (kulia kwa Muunguzi) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka.