RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania. Dkt.Godwin Lekundayo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania. Dkt.Godwin Lekundayo, baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika kwa ajili ya kujitambulisha 20-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.