RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum kutoka Serikali ya Seychelles akikabidhiwa na Rais Mstaaf wa Seyshelles Mhe.Danny Faure.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum kutoka Serikali ya Seychelles akikabidhiwa na Rais Mstaaf wa Seyshelles Mhe.Danny Faure, wakati wa ufungfuzi wa mkutano wa “7th Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” leo 8-11-2022.