RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Chancellor wa Chuo cha Zanzibar University. Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Chancellor wa Chuo cha Zanzibar University. Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz, baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.