RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Songa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Songa , wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023 Jijini Zanzibar