RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata keki maalum ya kumpongeza kwa kutimia miaka miwili ya Uongozi wake,wakati wa sherehe za kumpongeza zilizoandaliw
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata keki maalum ya kumpongeza kwa kutimia miaka miwili ya Uongozi wake,katika sherehe za Wauguzi Zanzibar zilizofanyika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar.