RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hotel

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliofanyika jana 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Muwekezaji wa Hoteli Bw. Francesco na Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Bw. Alfredo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Bw. Aldo Scarapicchia na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif.