RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Kujisomea cha Masafa Marefu katika Chuo cha ZU Zanzibar Kibele Tunguu Wilaya ya Kati
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Kujisomea cha Masafa Marefu katika Chuo cha ZU Zanzibar Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati wa Mahafali ya 21 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo cha ZU Mhandisi Dkt..Abdulqadil Othman Hafiz na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa