Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali na kuzungumza nae Mwanasiasa Mkongwe wa Zanzibar Bi.Shawana Buheti alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali na kuzungumza nae Mwanasiasa Mkongwe wa Zanzibar Bi.Shawana Buheti alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Mjini Unguja.