RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) Makamu wa Rais Mtendaji wa Afrexim Bank Bw. Amr Kamel.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) Makamu wa Rais Mtendaji wa Afrexim Bank Bw. Amr Kamel, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 16-2-2022.