RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Usajili wa Chama Cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Rais wa Chama hicho Bw. Mussa Kombo Bakari
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Usajili wa Chama Cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Rais wa Chama hicho Bw. Mussa Kombo Bakari, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 1-11-2022.