RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum Sanduku la Kasha mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum Sanduku la Kasha mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje. Sheikh. Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi.