RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Komputa (laptop) Mwanafunsi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Kidatu cha Nne Msabaha Shaban Kassim,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimkabidhi zawadi ya Komputa(Laptop) Mwanafunzi wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari Lumumba Mohammed Faki Hamad, kwa kufanya vizuri Mitihani yake ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la kwanza.