RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Laptop Mwanafunzi Abdulhalim Rajab Ame wa Kidatu cha Nne kutoka Skuli ya Fidel Castro Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Laptop Mwanafunzi Abdulhalim Rajab Ame wa Kidatu cha Nne kutoka Skuli ya Fidel Castro Pemba,wakati wa chakula maalum alichowaandalia na kuwapongeza kwa kufaulu vizuri katika mitihani yao ya Taifa, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba.