RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki Zanzibar Askofu Agustino Mweleli Shao.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki Zanzibar Askofu Agustino Mweleli Shao, wakati wa sherehe za Miaka 25 ya Uaskofu wake Jimbo la Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022.