RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Amiri wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar.Mwalimu.Suleiman Omar Ahmed, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungmzo akiwa na ujumbe wa Jumuiya hiyo walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika 9-11-2022