RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika 29-9-2022, katika ukumbi wa Ikulu.