RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya “International Holding Company“(IHC) Bw.Syed Basar Shueb

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya “International Holding Company“(IHC) Bw.Syed Basar Shueb akizungumza katika mkutano huo kuhusiana na fursa za uwekezaji Zanzibar katika sekta mbalimbali za uchumi, uliofanyika katika ukumbi wa Kampuni hiyo Abu Dhabi 18-1-2022