RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) akitowa maelezo ya kifaa alichobuni kwa ajili ya Utalii
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) akitowa maelezo ya kifaa alichobuni kwa ajili ya Utalii wa Baharini kuangalia samaki na matumbawe (Sub Marine Coral Reif Tour) wakati akitembelea maonesho ya kuadhimisha Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliofanyika 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.