RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia Sheikh. Abdulrahaman Abdulla.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia Sheikh. Abdulrahaman Abdulla, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 24-5-2022, akiwa na Ujumbe wake