RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza na kupata maelezo kutoka wa Afisa wa Banda la Maonesho la Tanzania wakati wa maonesho ya Expo Dubai 2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza na kupata maelezo kutoka wa Afisa wa Banda la Maonesho la Tanzania wakati wa maonesho ya Expo Dubai 2020,yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Nchini Dubai,baada ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards” na(kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) wakati wa ziara yake ya kiserikali.