RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Simai Mohamed Said Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Simai Mohamed Said Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.