RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimzikiliza Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe. Manfredo Fanti,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimzikiliza Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe. Manfredo Fanti,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanziba.