RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionda pazia kuashiria kuwe Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Manne ya Skuli ya Msingi Mkwajuni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionda pazia kuashiria kuwe Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Manne ya Skuli ya Msingi Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa, na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja Mhe. Sadifa Juma na Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.