RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kusini inayojengwa Kitongaji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kusini inayojengwa Kitongaji kupitia Fedha za Uviko-19, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 22-7-2022, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.