RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kitogani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kitogani Wilaya ya Kusini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kusini Unguja.