RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba, inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, hafla hiyo ya uwekaji wa Jiwe la Msingi iliyofanyika leo 26-7-2022.