RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la msingi la uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Z’bar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la msingi la uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto Muwekezaji Mzalendo) Bw.Hussein Muzzamil, uzinduzi wa jengo hilo uliyofanyika leo 22-3-2023 katika eneo la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Zanzibar Wilaya ya Mjini.